Nafasi za Masomo Mwaka 2024

Shule ya wasichana ursuline inayomilikiwa na masista wa shirika la mtakatifu ursula wa maria imakulata, inapenda kuwatangazia nafasi za kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza kwa mwaka 2024. Shule ipo  wilaya ya njombe vijijini kilomita 20 kutoka mjini, kata ya ikuna kijiji cha nyombo, barabara iendayo lupembe

Pichani ni wanafunzi wa shule yetu wakiwa na mwalimu wao katika group discussion.

Shule ni ya bweni na inamazingira mazuri ya kujisomea. Kumbuka shule inachukua wanafunzi wa dini zote na madhehebu yote. Pia ada yake ni nafuu sana. Wote mnakaribishwa.

Fomu  za kujiunga zinapatikana shuleni ursuline-nyombo. Kwa maelezo zaidi piga simu namba:

0748668909 au 0755278829

Ukipata ujumbe huu mshirikishe na mwingine kwa kupitia njia mbalimbali za mawasiliano, kama magroup ya WhatsApp na Facebook

Wanafunzi wakiwa na walimu wao wa computer katika somo la computer

KARIBUNI URSULINE GIRLS SECONDARY SCHOOL,

LET YOUR LIGHT SHINE!!!!

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *