MAHAFALI YA NNE YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA WASICHANA URSULINE

MAHAFALI YA NNE YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA WASICHANA URSULINE

Mnamo tarehe 14/09/2024 shule yetu ilibahatika kufanya mahafali ya nne ya kidato cha nne. Jumla ya wanafunzi 42 walihitimu. Mahafali yalianza kwa misa takatifu iliyoongozwa na Mh. Fr. Xavery Mwinuka, paroko msaidizi parokia ya Nyombo. Baada ya misa lilifuatiwa tukio la kumpokea mgeni rasmi kwa bendi ya shule na kasha kuanza maandamano kuelekea ukumbili. Chini…

Nafasi za Masomo Mwaka 2024

Nafasi za Masomo Mwaka 2024

Shule ya wasichana ursuline inayomilikiwa na masista wa shirika la mtakatifu ursula wa maria imakulata, inapenda kuwatangazia nafasi za kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza kwa mwaka 2024. Shule ipo  wilaya ya njombe vijijini kilomita 20 kutoka mjini, kata ya ikuna kijiji cha nyombo, barabara iendayo lupembe Shule ni ya bweni na inamazingira mazuri…

Mahafali Ya Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Ursuline- Njombe – Nyombo- 2022

MAHAFALI YA PILI Mahafali haya yamefanyika mnamo tarehe 10/09/2022 yakipambwa kwa uzuri kabisa na mheshimiwa mama Joyce Mayemba . Mahafali yalianza kwa ibada takatifu ya misa iliyoongozwa na mheshimiwa Padre Edward Msigwa paroko wa parokia ya Matembwe. Baada ya ibada bendi ya shule ilijiandaa kikamilifu tayari kumpokea mgeni rasmi kwa ajili ya kuanza rasmi mahafali…

Mahafali Ya Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Ursuline- Njombe – Nyombo 2021

Mahafali Ya Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Ursuline- Njombe – Nyombo 2021

Mahafali Ya Kwanza Mnamo tarehe 18/09/2021 shule ya sekondari ya wasichana Ursuline inayomilikiwa na masista wa shirika la Mtakatifu Ursula wa Maria Imakulata, ilifanya mahafali yake ya kwanza ya kidato cha nne yakiongozwa na mgeni rasmi Mama Pindi Chana mbunge wa viti maalumu . Katika mahafali haya wanafunzi 27 wasichana walihitimu. Mahafali hayo yalifana sana…