Nafasi za Masomo Mwaka 2024

Nafasi za Masomo Mwaka 2024

Shule ya wasichana ursuline inayomilikiwa na masista wa shirika la mtakatifu ursula wa maria imakulata, inapenda kuwatangazia nafasi za kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza kwa mwaka 2024. Shule ipo  wilaya ya njombe vijijini kilomita 20 kutoka mjini, kata ya ikuna kijiji cha nyombo, barabara iendayo lupembe Shule ni ya bweni na inamazingira mazuri…

Mahafali Ya Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Ursuline- Njombe – Nyombo- 2022

MAHAFALI YA PILI Mahafali haya yamefanyika mnamo tarehe 10/09/2022 yakipambwa kwa uzuri kabisa na mheshimiwa mama Joyce Mayemba . Mahafali yalianza kwa ibada takatifu ya misa iliyoongozwa na mheshimiwa Padre Edward Msigwa paroko wa parokia ya Matembwe. Baada ya ibada bendi ya shule ilijiandaa kikamilifu tayari kumpokea mgeni rasmi kwa ajili ya kuanza rasmi mahafali…