MAHAFALI YA NNE YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA WASICHANA URSULINE
Mnamo tarehe 14/09/2024 shule yetu ilibahatika kufanya mahafali ya nne ya kidato cha nne. Jumla ya wanafunzi 42 walihitimu. Mahafali yalianza kwa misa takatifu iliyoongozwa na Mh. Fr. Xavery Mwinuka, paroko msaidizi parokia ya Nyombo. Baada ya misa lilifuatiwa tukio la kumpokea mgeni rasmi kwa bendi ya shule na kasha kuanza maandamano kuelekea ukumbili. Chini…